Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amekagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa miundombinu ya sekta ya elimu Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.
Miradi iliyokaguliwa na Waziri wa Elimu Inayojengwa wilayani humo ina thamani ya zaidi ya bilioni 12 ni pamoja na ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi cha wilaya ya Kasulu, Chuo cha Ualimu Kabanga na ujenzi wa jengo la utawala shule ya Sekondari Grand.
“Wanapiga piga Siasa, wanagombania Mimi nitahamisha hela” Prof. Ndalichako (+video)
Leave a comment
Leave a comment