Mwimbaji wa Nigeria aliyeshinda tuzo ya Grammy, Damini Ogulu, almaarufu Burna Boy, amedai kuwa wanawake wanafikiri kinyume na uhalisia mara nyingi.
Ameyasema hayo alipokuwa akizungumzia msukumo wa wimbo wake wa ‘City Boys’ katika mahojiano ya hivi karibuni na Kiss FM ya London, Uingereza.
Alisema kuwa ‘City Boy’ kunamaanisha kujiweka wa kwanza katika uhusiano na wanawake.
Burna Boy alisema,
“City Boy ni kila mwanaume anayejiweka mbele. Ninamaanisha kuhusu uhusiano kati yetu na wanawake. Sio kujiweka kwanza katika mipango mara zote.
“Mimi kuwa City Boy? Ikiwa nasema unajua nini? Nitaenda kuchukua kila mtu hapa kufanya ununuzi sasa hivi.
“Me being a City Boy, right? If I say you know what? I’m going take everyone here shopping right now. We all go and you all get what you want. Why did I do that? I did that simply because it was some fly sh*t to do. And I feel fly about it. You get me? That’s City Boy’s feeling. It wasn’t about you. It was really about me doing some fly sh*t.
“Wanawake wanafikiri kinyume na mambo yalivyo wakati mwingi.
If it was a city girl, she would tell you the opposite. She wouldn’t get the logic. She would feel like, Oh… After you guys have gone shopping, she might feel like you are finenessed. That’s city girl.”