Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi leo May 25, 2017 amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fesha 2017/18 akiomba kutengewa Tsh. 70.7b na kulieleza Bunge mkakati wa Serikali katika kukabiliana na changamoto za migogoro ya ardhi.
VIDEO: Matatu ya Nape Nnauye Bungeni May 24 2017