Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia watu watano kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa mwezi mmoja katika maeneo ya Migera yaliyopo Manispaa ya Bukoba na baadae wakampeleka kwa Mganga wa kienyeji.