Zaidi ya watu elfu mbili kutoka mikoa mbalimbali nchini wamevamia katika Kijiji Cha Kitaita kata ya Leshata Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro baada ya kubainika kuwepo kwa madini ya dhahabu katika kijiji hicho .
Baadhi ya wananchi wanasema ni wiki moja Sasa imepitali walipata taarifa uwepo wa madini ya dhahabu katika eneo Hilo hivyo kutokana na changamoto ya maisha walifika ili kufanya shughuli za uchimbaji.
TAHARUKI: MWANAFUNZI MWINGINE WA CHUO AFARIKI AKITALII MAPOROMOKO MILIMA ULUGURU