Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Igunga mkoani Tabora imefanikiwa kuzirejesha fedha za ushuru wa maegesho ya malori Mil. 17,253,000/= zinazodaiwa kuchukuliwa na mgambo Peter Hiiti Areray aliyekuwa akikusanya ushuru kwenye maegesho hayo.
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari ofisini kwake Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Tabora Mussa Chaulo.
#LIVE: “HUYU MZEE ANAFANANA NA KIKWETE, NAFIKIRIA MUWE WILAYA YA CHALINZE”