Baada ya kukosekana kwa umeme kwa zaidi ya miaka 15 kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kimandolu iliyopo katika jiji la Arusha hatimaye ofisi hiyo kwa mara ya kwanza imeanza kupata huduma hiyo baada ya kanisa la Ephata Ministries Mkoani Arusha kuweka umeme pamoja na kutoa vifaaa mbalimbali katika ofisi hiyo.