Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameagiza polisi kumkamata mkandarasi wa kampuni ya NIPO Group,kwa kushindwa kukamilisha mradi wa usambazaji wa umeme vijijini (REA) katika kijiji cha Lendikinya katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha
Kalemani amesema mkandarasi huyo amechukua fedha za mradi huo tangu mwezi wa sita mwaka huu nakushindwa kukamilisha mradi huo nakuagiza mkataba na mkandarasi huo usitishwe