Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Hamisi Kigwangalla akiogelea katika maporomoko ya maji ya Chemka kwenye Hifadhi ya Misitu ya Amani, Tanga, hii ni sehemu ya Hifadhi inayosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS).
BREAKING: JOHN MNYIKA NDIE KATIBU MKUU CHADEMA TAIFA, MASHINJI ATOKA