Waziri wa Ardhi na Makazi William Lukuvi amesitisha ujenzi wa nyumba zinazojengwa mijini bila kufuata utaratibu, amefanya zoezi hilo katika Kata ya Mnadani jijini Dodoma.