Leo September 24, 2020 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaongoza Watanzania kutoa heshima za mwisho kwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania, Jaji Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini DSM.
Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania alifariki Dunia usiku wa kuamkia September 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, DSM ambapo mpaka umauti unamfika alikua amelazwa hospitalini hapo.
TUNDU ATAKA VITUO VYA TELEVISON VIANDAE MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS
https://youtu.be/NlS4fu2w_Ko