Leo 18 Februari,2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mtoto Hayati Edward Lowassa, Robert Lowassa ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tan Communications Media Ltd mara baada ua kukutana katika Mkutano wa Waziri Mkuu na wafanyabiashara mbalimbali ofisini kwake jijini Dar es Salaam
Mkutano huo ulilenga kujadili masuala ya maendeleo ya biashara na uchumi kwa Taifa.
Waziri Mkuu ameahidi ushirikiano kati ya Serikali na Private Sector nakuahidi kuendelea kusaidia, kushirikiana nao.