WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema usimamizi makini wa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan umewezesha Taifa kuvuka malengo ya kupambana na maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (VVU) ya 95-95-95 yaliyopangwa kufikiwa mwaka 2025.