Waziri wa mifugo na uvuvi Luhaga Mpina amesema serikali imetoa vibali kwa ajili ya uwekezaji wa ndani kwa ajili ya madawa ya mifugo kutokana na uagizwaji wa madawa ya mimea na mifugo kutoka nje ya nchi kuwa mkubwa huku akitoa maagizo
“wawekezaji wanashindwa kuzalisha kwa ajili ya makontena lakini nyinyi mmeleta makontena wenyewe hili ni ushindi mkubwa,nyinyi farm access leo mnazalisha kila kitu hapa kuwepo kwenu hapa tunapunguza matumizi ya fedha za kigeni”-Mpina