Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dr Damas Ndumbaro leo ameongoza zoezi la utiaji saini na Mkandarasi kuhusu ujenzo wa uwanja mpya wa michezo jijini Arusha.
Dr Ndumbaro ameeleza kuwa sasa unajengwa uwanja wa kisasa kwa ajili ya AFCON 2027 wenye thamani ya Tsh Bilioni 286 na wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 30,000.
Hata hivyo DR Ndumbaro amesema wao kama Wizara wamependekezs uwanja huo ambao utakuwa na michezo mingine pia kama riadha, uitwe jina la Dr Samia Suluhu Hassan Stadium .