Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameeleza matamanio ya kuibadilisha jina Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe ili kuondoa fikra mbaya kwa jamii kuhusu wagonjwa wananotibiwa katika hoaspitali hiyo
“Natamani libadilishwe hata jina la Mirembe kwakweli sababu ukienda pale unaonekana ni chizi tena unamatatizo na Afya ya akili ni tatizo ambalo linampata kila mtu ni kama vile Afya ya mwili inavyopata inavyopata misukosuko Afya ya akili nayo inapata misukosuko” Waziri Ummy Mwalimu