Kikao cha Bunge kimeendelea Dodoma leo November 19 2015, kikubwa kilichofanyika kwa siku ya leo ilikuwa ni kutajwa kwa jina la Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Jina lililoteuliwa na Rais Dk. Magufuli kushika nafasi hiyo ni la Mbunge wa Ruangwa, Majaliwa Kassim Majaliwa ambaye alikuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI katika Serikali ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
#BreakingNEWS: Rais Dk. MAGUFULI amemteua Mbunge KASSIM MAJALIWA KASSIM kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Bunge litapiga Kura kumthibitisha.
— millard ayo (@millardayo) November 19, 2015
Nimepata kipande cha video fupi kikionesha Spika wa Bunge Job Ndugai alivyopokea bahasha yenye jina la Waziri Mkuu na kulitaja.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokeamatukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayokwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.