Shirika la Afya Duniani limeonya kutokea kwa mlipuko wa pili wa virusi vya corona ikiwa ni baada ya Nchi nyingi kulegeza sheria ya kutokutoka nje, ikizionya Nchi za Ulaya na Marekani kuongeza uchunguzi, vipimo na ufuatiliaji ili kudhibiti ugonjwa huo.