Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira AnthonyMavunde ni miongoni mwa Mawaziri waliosimama Bungeni leo ambapo alielezea mikakati ya Serikali katika kupambana na madhara ya dawa za kulevya nchini.
Mavunde amesema.>>>“Katika mikakati ambayo tumejiwekea katika kudhibiti dawa za kulevya ni pamoja na kupunguza madhara kwa kuwa na madirisha maalum katika hospitali zetu za mikoa ambayo yatakuwa yakiwahudumia waathirika”
Kauli ya kwanza ya Mbowe baada ya kuachiwa kwa dhamana