Watu wengi hufanya mazoezi kwa ajili ya kupunguza mafuta mwilini na kuwa timamu kimwili muda wote na kuepuka magonjwa ambayo hayaambukizi kama vile Shinikizo la Damu unene uliopitiliza na matatizo ya moyo.
Tatizo lililopo ni wengi hufanya bila kujua ni vyakula gani ni muhimu baada ya kufanya mazoezi utumie ilikulinda yale mazoezi uliyofanya yafanye kazi na pia kupata kile unachotafuta.
AyoTV imempata Daktari aliyebobea kwa ajili ya mazoezi na magonjwa yasiyoambukizwa kutoka Chuo kikuu cha Muhimbili kutupa elimu aina uya mazoezi gani tufanye kwa faida ya mwili na utimamu wake.