Kuna takwimu za ishu kama magonjwa, rushwa, ajali huwa zinapewa kipaumbele sana kwenye vichwa vya habari kila kona, lakini takwimu nyingine hata kama zipo ni adimu kukutana nazo… Leo ni December 18 2015, tunahesabu wiki mbili tu kuimaliza 2015, takwimu za wajane zimenifikia na naanza kukuchambulia sasahivi.
Ripoti ya Loomba Foundation World Widows inaonesha mpaka sasa kuna jumla ya wajane Milioni 258 duniani kote, na idadi hiyo ni ongezeko la 9% ya wajane ilkilinganishwa na ripoti ya mwaka 2010.
Kwenye ripoti hiyo pia ishu ya magonjwa na migogoro imetajwa kama sababu kubwa ya kuongezeka kwa wajane.. na katika idadi hiyo ya wajane wote, India inaongoza kwa kuwa na wajane Milioni 46 huku India ikifatia kwa kuwa na wajane Milioni 44.6
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.