Kufuatia taarifa iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu mlipuko unaoshukiwa kuwa wa Virusi vya Ugonjwa wa Marburg kuua Watu 8, Wizara ya Afya imesema imeshatuma Timu ya Wataalamu kwaajili ya kufanya uchunguzi wa suala hilo.