Vituko haviishi…. wakati leo Dar es salaam kukiwa na gumzo la “Tajiri Mtata” alienunua nyumba za mnada za BILIONI 3 kumbe hana kitu mfukoni, huko Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi Wakili feki kaingia kazini.
AyoTV na millardayo.com zinayo EXCLUSIVE INTERVIEW jinsi Wakili huyu feki Jeremiah Ragita alivyoingia Mahakama kuu.
Wakili huyu feki alijitambulisha kwamba anatokea kampuni ya sheria ya Faithful Attorney Advocates na alikuwa akimuwakilisha mlalamikaji Nunu Mhusin Mkwata katika kesi ya ardhi….. hii video hapa chini inayo taarifa kamili.
MWANZO MWISHO: Video ya Tajiri Mtata alivyonunua nyumba za mnada kwa BILIONI 3 DSM kumbe hana kitu mfukoni…. bonyeza play hapa chini kumtazama
https://www.youtube.com/watch?v=kTl6ZAZqCH0&t=25s
UNAZITAKA BREAKING NEWS FASTAFASTA? Jiunge na Reporter wako Millard Ayo kwa kubonyeza kifuatacho SUBSCRIBE >>> YOUTUBE , APP YA MILLARD AYO, FACEBOOK , INSTAGRAM