Wanafunzi zaidi 100 wa kidato cha sita shule ya Taqwa Campus ya Ghana Mwanza wameandamana kwenda Ofisi ya Afisa Elimu Mwanza wakishinikiza kullipwa pesa zao 50,000 kwa kila mmoja walizotoa kulipia mtihani ambao baadae uliahirishwa.
Wanafunzi hao wakizungumza na Kaimu Afisa Elimu mkoa wa Mwanza Joseph Ngoseki pia wamemueleza sababu za kuwakataa Walimu wao wawili pamoja faini ndogondogo ambazo wamekuwa wakizitoa shuleni.
“WATUMISHI WA UMMA WENYE AJIRA MBILI WATOLEWE MARA MOJA” -PROF. NDALICHAKO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA