Jeremiah Kaila ni kijana mwenye umri wa miaka 25, kazi yake ni kubrashi viatu Rock City Mall Mwanza, Yeye ameamua kuongeza thamani kwa kujitofautisha na wengine wanaofanya kazi kama yake, wakati anakupatia huduma hutakiwi kuvua viatu kama ilivyozoeleka na kwenye hiyo kazi ameajiri vijana watatu wanaofanya kazi pamoja, anasema kipato chake kwa mweizi ni karibu Laki tano.
LIVE MAGAZETI: Maajabu matokea kidato cha sita, Wanawake 800 waomba kuolewa na tajiri Dangote