Kombe la dunia linatarajia kufanyika mwaka 2018 na tayari Shirikisho la soka duniani FIFA limeitangaza nchi ya Russia kuwa wenyeji wa michuano hiyo mikubwa zaidi duniani.
Tayari Russia imeanza maandalizi kwa ajili ya mashindano hayo na viwanja vitakavyotumika vimeanza kujengwa katika maeneo mbalimbali.
Brazil ndio walikuwa wenyeji wa fainali zilizopita ambapo bingwa alikuwa Ujerumani

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.