Mgahawa wa kwanza barani Europe ambao utajengwa nchini ya ardhi kwenye maji unatarajiwa kuzinduliwa mwanzoni mwa mwaka 2019 huko Lindesnes, Norway Kusini.
Mpangilio wa saruji unaojenga dirisha pana la mgahawa huo litakuwa la mita za mraba 36 na unajengwa ili kuwa sehemu ya mazingira ya baharini huku vyakula vyake vikuu vikiwa vya baharini (seafood).
Mgahawa huo utaitwa ‘Under’ na umedizainiwa na kampuni kubwa ya ujenzi nchini Norway ijulikanayo kama Snohetta.
“Kila siku tabu juu ya tabu, tutashikana mashati humu ndani” –Mbunge Aeshi