Moja ya sifa za Mkoa wa Kigoma katika fashion au katika mavazi ni kua na wingi wa vitenge tokea Congo hii inasababishwa na uwepo wa Mkoa huu kua karibu na Nchi hiyo na vitenge kusababisha kua bei na fuu.
AyoTV na millardayo.com iliweza kutembelea katika maduka ya vitenge kujua vitenge gani hupendwa kushonwa.
NANDY alivyozindua bidhaa zake, atangaza siku ya kuacha Muziki