Leo February 25, 2019 Kuna hii ya kuifahamu kutoka kwa Wataalam wa Hospital ya Apollo kutoka India wanakuambia sehemu ngumu ya maisha ya kiumbe chochote kilicho hai hasa binadamu ni pale kinaposhambuliwa na maradhi.
Kwa binadamu maradhi yamegawanyika kwenye makundi mawili ambayo ni maradhi ambayo binadamu tumezaliwa nayo na mengine yanatokana na mtindo wa maisha yetu ya kila siku.
Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Magonjwa ya Mfumo wa fahamu (Ubongo na Uti wa Mgongo) kutoka katika Hospitali ya Apollo nchini India Dr. Alok Ranjan anaelezea kuhusiana na matatizo yanayohusiana na Ubongo na Uti wa mgongo.
Pia utamatazama Dakatari wa Tiba za Magonjwa ya sikio, pua na koo na Mkuu wa Idara ya Upasuaji wa Kichwa na Shingo kutoa Hospitali za Apollo Ne Delhi Dr. Kalpana Nagpal anaelezea kwa kina kuhusu magonjwa hayo.
Pia, uongozi wa apollo hospitals ulimtambulisha mwakilishi wa hospitali za Apollo nchini Tanzania, Alex Kanyaitoju. Anapatikana Dsm unaweza kuwasiliana naye kwa 255766384851.
BREAKING: WATU 17 WAFARIKI COSTA IKIGONGANA NA LORI SONGWE