Headlines za Bungeni zimeendelea tena leo May 26 2016 ambapo Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imewasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 kutitia kwa Waziri wake Joyce Ndalichako.
Waziri Ndalichako amesema…>>>’Wizara inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 1,396,929,798,625.00 ili kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi’
Mgawanyo wake utakuwa vipi? Waziri Ndalichako kaeleza…>>>’Shilingi 499,272,251,000.00 zinaombwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida, Shilingi 386,904,995,000.00 kwa ajili ya mishahara, Shilingi 112,367,257,256,000.00 kwa matumizi mengineyo’
‘Shilingi 84,132,297,000.00 kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya Idara ya Vitengo , Shilingi415,139,954,000.00 zinaombwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida Taasisi na Shilingi897,657,547,625.00 kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo.’
ULIIKOSA HII? CHEKA KIDOGO NA HUYU MBUNGE ANAYEJIITA ‘BWEGE’ NA HIVI VITUKO VYAKE
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE