Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jafo ametembelea na kukagua kituo cha afya cha Olkokola kilichopo katika wilaya ya Arumeru ambapo kituo hicho kinajengwa kwa kutumia nguvu za wananchi ambapo wamechangishana zaidi ya Milioni 26 huku serikali ikiahidi kuendelea kushirikiana nao katika kugharamia ujenzi huo.
Kwa upande wa Diwani wa kata hiyo ya olkokola, Kalanga ambaye ameongoza zoezi hilo amesema awali wananchi walikuwa wakipata shida kutembea zaidi ya Kilometre 20 kufuata huduma za afya.
BREAKING: Mambosasa ishu ya familia ya Kikwete, Nondo kufikishwa Mahakamani