Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ilikutana na wadau wa ujenzi na kubaini changamoto zinazoikabili sekta ya ujenzi kuangalia namna ya kuweza kuboresha vitendea kazi.
Imeelezwa kuwa kumekuwa na vyombo vingi vinavyosimamia ujenzi nchini ambavyo havina uwiano na baraza la ujenzi la taifa na pia kumekua hakuna ushirikiano wa kutosha katika sekta ya ujenzi swala ambalo limepelekea kutofahamu gharama za ujenzi, ubora wa vifaa vya ujenzi pamoja na ubora wa majengo na miundombinu inayojengwa.
Ulipitwa na hii? Mahakama yamuachia huru Mbunge Lwakatare, mwenyewe atoa neno