Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii ‘NSSF’ kwa kushirikiana na Mwendesha Mashtaka wa Serikali wanatarajia kuwafikisha Mahakamani waajiri 126 wanaodaiwa zaidi ya Tsh Bilioni 1 kwa kushindwa kuwasilisha michango ya Wafanyakazi wao.
KAGERA TENA: Dhoruba nyingine yaangusha nyumba 30