Ripoti zinaonesha kuwa mwaka hadi mwaka kumekuwa na ongezeko kubwa la matukio ya ukatili wa kijinsia Tanzania. Hii imethibitishwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari, tafiti na hata vyombo vya dola.
Katika kuliona hilo Gandhi ya wadau wa kupambana na ukatili wa kijinsia wamekutana Dodoma na kuelezea namna tatizo hilo linavyosumbua ikiwemo ukeketaji na unyany’apaa. Kila kitu nimekuwekea kwenye hii video hapa chini…
Agizo la Naibu Waziri Jafo kwa Maofisa Kilimo na Wakuu wa Mikoa