Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Fortunatus Muslim leo October 4, 2017 amekutana na wanahabari na moja ya mambo aliyoyaeleza ni kuhusu ajali ya gari iliyosababisha vifo vya watu 14.
KAMANDA MUSLIM! Adhabu kwa madereva waliovunja sheria barabarani