Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Rais John Magufuli kutangaza kuipa hadhi Dodoma kuwa jiji, Mkurugenzi wa jiji hilo Godwin Kunambi ameanzisha mpango wa kuwapatia bima za afya bure wafagiaji wa maeneo yanayozunguka jiji hilo ili kuweza kuwasaidia .
Kubwa nyingine yakufahamu kutoka kwake pamoja na Mkuu wa mkoa huo Dr Bilinith Mahenge ni adhabu waliyoitangaza kwa watu wote watakaokutwa wanatupa uchafu katika maeneo yanayozunguka jiji hilo.
RC Mahenge amesema…>>>”Mtu akitupa uchafu Dodoma anaandikiwa kulipa na anaandikwa kwenye mtandao jina lake linabaki humo, makosa yakifika matano hadi manne tunatoa majina yao kwenye magazeti”
Professor Jay alivyoingia na Style ya Kurap Bungeni