Kijana Curtis McDaniel, 22, ambaye ni mkazi wa New Jersey Marekani ambaye ni mgonjwa wa ugonjwa ujulikanao kama vitiligo ni miongoni mwa vijana wanaotajwa kuwa wa mfano kwa watu wengine kwenye jamii ambapo wanapaswa kukubali walivyoumbwa na kuishi kama binadamu wengine.
Curtis anaeleza kuwa haikuwa rahisi kujikubali kuwa na ugonjwa huo ambao ni wa ngozi kupoteza uwezo wake wa kuwa na rangi, tatizo ambalo hakuna mtu kwenye familia yake mwenye nalo.
Curtis kwa sasa ni mwanamitindo na anaishi bila kujitofautisha na watu wengine.
“Hii sehemu inanipa shida sana na sielewi” –Dr Tulia
“Tusiingize siasa kwenye mambo ya maendeleo” –Dr Tulia