Moja kati ya michezo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu usiku wa November 26 ni mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Tottenham Hotspurs katika uwanja wa Stamford Bridge, huu ni mchezo ambao Spurs walikuwa wanaingia Stamford Bridge wakiwa hawajakubali kufungwa hata mchezo mmoja msimu huu.
Usiku huo wa November 26 Chelsea imevunja rekodi ya Spurs kwa kuifunga goli 2-1, magoli ya Chelsea yakifungwa na Pedro Rodriguez dakika ya 45 na Victor Moses dakika ya 51, wakati goli pekee ya Totteham lilifungwa mapema kabisa mwanzo mwa mchezo dakika ya 11 na Christian Eriksen.
https://youtu.be/sNSjme1dJmA
ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0