Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara club ya Dar es Salaam Young Africans walicheza dhidi ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Uhuru na kujikuta wakiambulia sare ya 0-0 baada ya game kocha wa Mtibwa Sugar Zuberi Katwila aliongea na waandishi wa habari.
“Mechi ilikuwa ngumu ukizingatia tunacheza na Mabingwa watetezi na sisi tulikuwa tunaongoza Ligi na wao walikuwa wanatafuta namna ya kupata point tatu, sisi tulikuwa ugenini na tumetafuta ushindi lakini imeshindikana tumepata sare”>>> Katwila
MAGOLI YOTE: Mbao FC vs Simba FC September 21 Mwanza (2-2)