Ni kwa muda mrefu club ya Simba SC imeshindwa kufuzu hatua ya Makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hivyo ushindi wa magoli 3-1 na kuwafanya watinge hatua ya makundi kwa ushindi wa aggregate ya jumla ya magoli 4-3, umewafanya Simba wapate nafasi ya kuingia hatua hiyo tena, baada ya kufuzu Simba walikuwa wakishangilia na kocha wao Patrick Aussems ambaye furaha ilimzidi na kuvua shati.
MO Dewji alivyojitokeza Taifa kwa mara ya kwanza baada ya siku 49 toka atekwe