Ni headlines kutoka Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inakanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa TRA inagawa magari kwa Taasisi zinazotoa huduma za kijamii kama Kanisa, Msikiti, NGO, vituo vya watoto yatima, vituo vya kutunzia wazee na vingine vingi vinavyotoa huduma hizo.
Taarifa hiyo si ya kweli, hivyo wananchi mnaombwa kuipuuza.
BREAKING: JPM kateua Mwanasheria Mkuu mpya