Kaimu Mkurugenzi Muu Mtendaji wa Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) Jape Ussi Khamis amefurahi kukutana na Mawakala wao wa Kanda ya Pwani (Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani) jana jijini Dar es Salaam.
ZIC walikutana na mawakala hao katika Hotel ya Golden Tulip kwa ajili ya kuwapongeza na mafanikio yaliyopatikana kwa Mwaka 2024.