Taasisi ya taifa ya Utafiti (NIMR) kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu Dr. Mwele Malecela imesema katika kusikia kwamba kuna ugonjwa unaitwa ZIKA kwenye mataifa mbalimbali, iliona umuhimu wa kufanya utafiti Tanzania hali ikoje.
Dr. Mwele amesema ‘Ukweli ni kwamba katika nchi yetu tunao ugonjwa wa ZIKA na katika watu waliopimwa, asilimia 15.3 waligundulika kuwa wameambukizwa virusi vya ZIKA‘
Kufahamu zaidi unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini…
VIDEO: Tazama Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia Darasa la 7