Kiongozi wa Chama cga ACT Wazalendo Zitto Kabwe leo amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Millenium Tower na kuzungumza mambo mbalimbali ya Chama hicho ikiwemo ufunguzi wa kampeni zao.
Ufunguzi wa kampeni hizo utakaofanyika Agosti 30 katika viwanja vya Zakheem, Mbagala ambapo watamtambulisha Mgombea wao wa Urais.
ZITTO KABWE- ‘Sasa hivi tunaendelea na mafunzo ya wagombea Ubunge kupitia chama chetu ili waweze kufanana’ #ACT2015#MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Tuna maeneo kadhaa ikiwemo kuwaelezea kuhusu Azimio la Tabora ambayo ndio sera kuu ya chama chetu’ #ACT2015 #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Tunapenda kuwapa taarifa kwamba katika majimbo 265 ya Tanzania, ACT imeweka wagombea 219 wa Ubunge #ACT2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Hii inatufanya chama chetu kuwa cha pili kwa idadi kubwa ya wagombea Ubunge nchini baada ya CCM’ #ACT2015 #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Hii inatufanya chama chetu kuwa cha pili kwa idadi kubwa ya wagombea Ubunge nchini baada ya CCM’ #ACT2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘CCM imeweka wagombea nchi nzima 265, tunaofuata ni sisi wagombea 219, CHADEMA 138, CUF na wengine’ #ACT2015 #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Chama chetu ndio kinaongoza kwa idadi ya wagombea Ubunge wanawake, 25% ya wagombea ni wanawake’ #ACT2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Tumeenguliwa jimbo la K’ndoni bila sababu za msingi eti kisa hajadhaminiwa, tumekataa rufaa NEC’ #ACT2015 #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- #Mgombea wetu jimbo la Singida Mashariki kakatiwa rufaa na Tundu LISSU kwa sababu zisizoeleweka #ACT2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-Kwa bahati mbaya LISSU pamoja na Uanasheria wake hata jina kakosea,licha ya mizengwe yake Amerudishwa #ACT2015 MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Tunazindua kampeni zetu J2 kule Mbagala ambapo mgombea wetu wa Urais ataeleza mambo atakayofanya’ #ACT2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Pia tutazindua rasmi ilani ya chama itakayotumika kwenye kampeni ili kuhakikisha tunafanya vizuri’ #ACT2015 #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-‘MAGUFULI kwenye majukwaa anaongea nini? anasema barabara tu utafikiri anagombea Uwaziri wa barabara #ACT2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Sisi ndio chama pekee cha siasa ambacho kina ajenda kwenye kampeni za uchaguzi mwaka huu’ #ACT2015 #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Rais wa nchi unagombea kuongoza nchi lakini kila siku nikisoma Magazeti ni barabara tu na madaraja #ACT2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Angalau alisema ataanzisha Mahakama ya kupambana na mafisadi kwa sababu ya level ya ufisadi iliyopo CCM’ #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-‘Vipaumbele vyetu ni vinne tu Haki ya Watanzania kwenye hifadhi ya jamii, kila Mtanzania awe na bima ya afya #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Ajenda nyingine ni Uchumi unaozalisha ajira, Afya pamoja na elimu kwa ajili ya nchi yetu #ACT205 #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-‘Mimi najua wengi mmemezwa na siasa za UKAWA na CCM lakini mnajua hawana kipya wanachokisema #ACT2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-‘Nchi ina nyufa za mgawanyiko wa kidini na kikabila, tunataka kuwa na ajenda ya kitaifa ya kuunganisha nchi’ #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-‘Nchi ina tatizo kubwa la Ufisadi, chama kinachoweza kuzungumzia ufisadi ni kimoja tu ACT Wazalendo #ACT2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-‘UKAWA wanaweza kuongelea ufisadi? kwa wiki tatu sasa mmewasikia wakigusia ufisadi? unapambanaje na ufisadi? #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- Kama unataka siasa za mbwembwe nenda CCM, siasa za ulaghai nenda UKAWA na siasa za misingi njoo ACT #ACT2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-‘Tukifanikiwa kuwafikia WaTZ mil.5 kupitia mifuko ya Jamii tutakua na uwezo wa kuweka akiba ya trilioni1.8 #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘MAGUFULI amejaribu kuzungumzia hifadhi ya jamii lakini kwa sababu haielewi ameshindwa, hawezi kufafanua’ #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-UKAWA nao wamejaribu kuiga, mtawasikia kesho lakini hawawezi kufafanua kwa kuwa si yao ni ajenda yetu #ACT2015 MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-UKAWA nao wamejaribu kuiga, mtawasikia kesho lakini hawawezi kufafanua kwa kuwa si yao ni ajenda yetu #ACT2015 MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-‘Jimboni kwangu mimi wakulima wote wana bima za afya, hifadhi za jamii kupitia chama cha Ushirika’ #ACT2015 #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE- ‘Nasema ukikaa na kuisoma kwa umakini ilani yetu,utarudisha kadi ya chama kingine kama unayo’ #ACT2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-‘Jimboni kwangu mimi wakulima wote wana bima za afya, hifadhi za jamii kupitia chama cha Ushirika’ #ACT2015 #MillardAyoUpdates — millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
ZITTO KABWE-UKAWA nao wamejaribu kuiga, mtawasikia kesho lakini hawawezi kufafanua kwa kuwa si yao ni ajenda yetu #ACT2015 MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos