Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu ameamua kutumia usafiri wa bajaji kuwafikia watu wake wa Jangwani ambao wamekumbwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam.
Zungu alitumia usafiri huo akiwapelekea futari huku akishirikiana na Taasisu ya Who is Hussein, wananchi wa Jangwani kwa sasa wanapata tabu baada ya nyumba zao kujaa maji hali inayopelekea kushinwa kwenda kutafuta mahitaji.
MAFURIKO BUKOBA: DC AKERWA NA MTUMISHI WA SERIKALI AAMURU ATOLEWE KWA NGUVU