Serikali imedhamiria kuanzisha Vituo vya Polisi katika sehemu mbalimbali za Utalii lengo ikiwa ni kuondoa kero yauUhalifu kwa Watalii wanaokuja nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika mkutano wa wadau wa Utalii Zanzibar.
“HAKUNA MHUJUMU ATAKAYEBAKI SALAMA” RC GAGUTI