Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Nay wa Mitego anatualika kuitazama video yake mpya ‘sijiwezi’

on

Amezoeleka kwenye nyimbo za kuchana au kuwasema watu lakini time hii staa huyu wa bongofleva ameifanya ngoma ya mapenzi, ukishamaliza kuitazama hapa chini usisahau kuacha comment yako ili ajue mashabiki wameipokeaje.

VIDEO: Kutana na hii ya Binti Mtanzania aliyelipwa BILIONI 1 Ufaransa kwa dili la siku moja, bonyeza play hapa chini kujua zaidi

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement