Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Swali la Profesa J Bungeni kuhusu Mil 600 zilizotumika vibaya

on

Kutoka bungeni Dodoma leo February 7 2017 katika kipindi cha maswali na majibu Mbunge wa Mikumi kupitia ticket ya CHADEMA Joseph Haule maarufu Profesa J alisimama kuhoji hatma ya milioni 600 jimboni kwake.

Ni pesa ambazo zilitumika kujenga miundombinu ya umwagiliaji jimboni kwake iliyochini ya kiwango ambapo baada ya swali lake majibu yakatolewa na Naibu Waziri wa maji na umwagiliaji Mhandisi  Kamwelwe, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement