PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

HEKAHEKA: Mwanaume aliyehudumia mtoto mpaka miaka 9 ambiwa mtoto siwake

on

Hekaheka ya leo January 9, 2018 inamhusu mwanaume anayedai kuwa mtoto ni wake na alikuwa akimhudimia mtoto mpaka akatimiza miaka 9 kwa kutuma hela na hata mara ya mwisho mama alidai mtoto hana nguo baba huyo akamchukua mtoto na kumnunulia nguo na kukaaa naye na kumtafutia shule.

Baada ya mwanaume huyo kukaa na mtoto kwa muda mama akaanza kumtaka mwanae kila siku akipiga simu akimhitaji mtoto huku akisema kuwa mtoto si wa mwanaume huyo ni wa mwanaume mwingine ambapo kesi ikaanzia hapo mwanamke akitaka mwanae arudishwe na mwanaume hataki, ambapo mama akaenda kushtaki kuwa mtoto wake katekwa.

Bonyeza PLAY kusikiliza FULL STORY….

HEKAHEKA: Mwanaume ameua familia yake kwa kutumia Jembe DSM

Soma na hizi

Tupia Comments