AyoTV

Kocha Al Ahly baada ya kukataa kumpa mkono Kocha wa Simba SC

on

Kocha wa Al Ahly baada ya game kumalizika 1-0 Simba kupata ushindi huo, aligoma kupewa mkono na kocha wa Simba Patrick Aussems kama ishara ya fair Play na ndipo Aussems nae alipokutana nae wakati wa Press akagoma kupokea salamu yake ila walimaliza kwa kuzungumza na kila kitu kikaendelea.

Imeshinda Simba SC tabu kaipata JB wakati wa kutoka

Soma na hizi

Tupia Comments